Mbosso - Amepotea (Lyrics) / English Translation

Details
Title | Mbosso - Amepotea (Lyrics) / English Translation |
Author | Goldenfish Ent. |
Duration | 3:31 |
File Format | MP3 / MP4 |
Original URL | https://youtube.com/watch?v=bqamCZLdtbE |
Description
Mbosso Amepotea
Amepotea Mbosso
For your music submission, business enquiry and copyright issues please contact us;
📩 goldenfishent200@gmail.com
Please Subscribe To Our Channel And Turn On Bell Notification 💜
#mbosso #amepotea #tanzania #lyrics
(Amepotea Lyrics ✍️)
Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata
Kazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikani
Yupo wapi huyu
Baba kaniuoizia
Yupo waapi huyu
Mama haishi kulia
Yupo wapi huyu
Mimi, nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Sio mwana rahabu mlomkuta tanga
Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waanga
Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
Penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na wanga
Aaah ladha yake, si sukari
Ni vichenza na malimao
Mechi zake huwa hatari
Ni chenga na mabao
Kazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikani
Yupo wapi huyu
Baba kaniuoizia
Yupo waapi huyu
Mama haishi kulia
Yupo wapi huyu
tags;
amepotea mbosso lyrics
mbosso amepotea lyrics
amepotea by mbosso
amepotea by mbosso lyrics
amepotea lyrics
tanzania music, mbosso songs
mbosso lyrics, amepotea song
amepotea english translation
amepotea mbosso english translation
amepotea mbosso english lyrics
mbosso amepotea english lyrics
amepotea english lyrics